Tuesday, November 6, 2012

MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN YAKAMATWA JIJINI DAR

Watu wa tatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ambayo yalikuwa yanasafirishwa kuelekea nchini China kupitia Hong Kong. Jumla ya kete 194 zenye thamani ya shilingi milioni 156

No comments:

Post a Comment