Monday, November 19, 2012

CHADEMA KUANZA MOVEMENT FOR CHANGE NCHI NZIMA

Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganizesheni wa CHADEMA, Benson Kigaila ( kushoto) akisisitiza jambo kwenye mkutano   na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA  jijini Dar es Salaam juu ya kusudio la kufanya mikutano ya hadhara ya chama hicho  nchini kote. Kulia ni Afisa Habari CHADEM A, Tumaini Makene.


No comments:

Post a Comment