Sunday, November 11, 2012

MGOGORO WA MAPATO YA MSANII MAARUFU WA ZANZIBAR BI KIDUDE

MKURUGENZI Mtendaji wa Sauti za Busara Promotion Yussuf Mahmoud, Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya habari na maelezo huko Kikwajuni kuhusu mgogoro wa mapato na Matumizi uliyojitokeza kati ya wanafamilia wa Msanii mkongwe Fatma biti Baraka 'Bikidude' na Uongozi wa Taasisi hiyo ulisema mapato na matumizi ya msaanii huyo ya shilingi milioni 36 ametumia mwenyewe kulingana na mahitaji yake na kubakia chenji ya shilingi milioni 3.6 kabla ya kuanza kuumwa mwaka huu..

No comments:

Post a Comment