Monday, November 19, 2012

Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, John Theobard akigawa nakala za machapisho mbalimbali yanayotolewa na Tume hiyo kwa wananchi wa Kata ya Rhotia Wilaya ya Karatu mkoani Arusha wakati wa mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya katika kata hiyo jana

No comments:

Post a Comment