Thursday, November 8, 2012

Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakidandia gari lililombeba aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema mara baada ya kesi yake ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyokuwa Mahakama ya Rufaa kuahirishwa jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment