Thursday, November 22, 2012

MAHAFALI YA WAHITIMU WA PhD CHUO KIKUU CHA DODOMA

Wahitimu wa Shahada ya uzamivu wa Chuo Kikuu cha Dodoma kutoka kushoto   Philemon Sengati ,Zainabu Mshana na Victor George wakimsikiliza Mkuu wa Chuo hicho Benjamin Mkapa (hayupo pichani) jana katika mahafli ya tatu ya Chuo hicho yaliyofanyika nje ya ukumbi wa Chimwaga Dodoma

No comments:

Post a Comment