Thursday, November 22, 2012

Dr Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule  katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

No comments:

Post a Comment