Monday, November 12, 2012

NIMR YAFANIKIWA KATIKA UTAFITI WA CHANJO YA MALARIA KWA WATOTO

Wataalamu wa Afya wakifuatilia ripoti ya Utafiti wa Chanjo ya Ugonjwa wa Malaria iliyokuwa inawasilishwa na Dk Samuel Gesase kutoka kituo cha Utafiti wa magonjwa ya Binadamu cha Korogwe.

No comments:

Post a Comment