Thursday, November 22, 2012

MAHAFALI YA WAHITIMU WA PhD CHUO KIKUU CHA DODOMA

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Benjamin Mkapa (kulia) akimtunuku  Shahada ya uzamivu(PHD)  Zainabu Mshana  katika mahafali ilifanyika jan katika chuo hicho Dodoma na picha nyingine ni Zainabu Mshana akiwapungi mkuno kwa furaha baada ya kuhitimu PHD  yake katika mahafali ilifanyika jana nje ya ukumbi wa Chimwaga.PICHA KWA HISANI YA IBRAHIM JOSEPH


No comments:

Post a Comment