Thursday, November 22, 2012

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa(kulia) akimtunuku shahada ya uzamivu (PHD) Victor George  jana katika mahafali ya tatu tangu kuanzishwa kwa chuo hicho

Add caption

No comments:

Post a Comment