Sunday, July 15, 2012

FFU WAKILINDA MKUTANO WA CHADEMA SINGIDA

Askari wa kikosi cha kutuliza Ghasia mkoani Singida wakilinda mkutano wa Chadema ambao ulitokea vurugu.

YANGA WAFANYA MKUTANO WA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga Jaji Mkwawa akifungua mkutano huo

YANGA WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI

Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa katika mkutano wao mkuu wa kuchaguz viongozi katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.

Friday, July 6, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA NA MKURUGENZI WA PPF

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio wakati alipotembelea banda la PPF Sabasaba.

RAIS ATEMBELEA BANDA LA PPF

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Wiliam Erio wakati walipotembelea banda la shirika hilo kwenye Maonyesho ya Biashara wa Mwilimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

Thursday, July 5, 2012

GARI YAPOTEZA MWELEKEO NA KUGONGA MTU

Msamalia mwema akiwa anasubiri gari la kumbeba Bw Shaban Mashaka aliyegongwa na gari eneo la Kijitonyama baada ya gari  Toyota Hiace kupoteza mwelekeo na kumgonga

MEMBE AZUNGUMZIA MELI INAYOPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernaed Membe akizungumza na waandishi wa habari juu ya meli inayodaiwa kuwa ya Iran inayotuhumiwa kupeperusha bendera ya taifa ambapo alisema kuwa Tanzania ipo tayari kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya, Marekani na Tanzania.