Sunday, April 15, 2012

Mwanamuziki Lwiza Mbutu wa Twanga Pepeta (katikati) akipokea Tuzo ya Wimbo Bora wa mwaka wa Kiswahili katika sherehe za Kilimanjaro Music Award
Awaichi Mawalla (kushoto) akimkabidhi Maneck (watatu kushoto) Tuzo Kilimanjaro Music Award baada ya kuwa Mtayarishaji bora wa Muziki (Producer)
Isha Mashauzi (kulia) akiwa na Tuzo ya Kilimanjaro Music Award baada ya kuibuka kuwa msanii mwenye wimbo Bora wa Taarabu
Khadija Kopa akiwa na Ruzo yake ya Kilimanjaro Music Award baada ya kuibuka kuwa Mtumbuizaji Bora
Wanamuziki wa kundi la Vifuu Tundu  (wapili kushoto) wakipokea Tuzo ya Wimbo wenye vionjo vya Asili katika Kilimanjaro Music Award
Mwanamuziki Roma akiwa na Tuzo yake ya Kilimanjaro Music Award baada ya kuibuka kuwa na Wimbo Bora wa Hip Hop
Rapa Bora wa Mwaka Kalidjo Kitokololo (kushoto) akiwa na rapa wa Twanga Pepeta Msafiri Diof mara baada ya Kitokololo kutunukiwa tuzo yake ya Kilimanjaro Music Award
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe akimpa tuzo Mtunzi Bora wa Mwaka mwanamuziki  Diamond katika sherehe za Kilimajaro Music Award
Ommy Dimpos (kulia) akipokea tuzo ya msanii bora anayechipukia wa Kilimanjaro Music Award 2012



Diamond akipokea tuzo yamsanii bora wa Kilimanjaro Music Award 2012

Saturday, April 14, 2012

Kama wewe unayaogopa maji wenzako hayaogopi
Wewe unaogopa maji lakini kwa wenzio maji ni sehemu ya maisha yao. pichani mmoja wa wakazi wa Dar es Salaam akiburudika na upepo wa bahari ya Hindi na mwingine akiwa kazini kutafuta samaki
Mkazi wa jiji la Dar es Salaam akiangalia watu wawili waliokuwa na kila mmoja na kazi yake ambapo mvuvi akielekea kazini na mwingine akiburudika na upepo wa bahari eneo la Feri

Wakazi wa kijiji cha Lipinyapinya Peramiho wilayani Songea mkoani
Ruvuma wakichota maji kutoka katika tenki la maji moja kwa moja kwa
kutumia vipande vya khanga . Hii ni kutokana na kutokuwepo kwa
miundombinu ya kusambazia maji kutokana na uhaba wa maji katika maeneo
mengi wilayani humo, wananchi walio wengi  wanalazimika kuchota maji
kwa njia hii jambo ambalo linahatarisha maisha yao
Mmoja wa wateja walionufaika na mikopo ya kuboresha makazi,Bw.Paskali Singira akizungumzia mkopo huo ambao alifanikiwa kuupata na kuweza kumalizia nyumba yake wakati wa uzinduzi wa mikopo hiyo. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa benki ya ACB,Bw John Lwande
Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank John Lwande (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mikopo ya kuboresha nyumba
Jenerali Ulimwengu akifuatilia kwa makini mijadala wa wazi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mgeni mwalikwa katika Mjadala wa Wazi wa Kigoda cha Mwalimu Nyrere Profesa Micere Githare Mugo akizungumzza katika mjadala huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerer Foundation Dk Salimu Ahmed Salim
Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Dk Salimu Ahmed Salim akizunguza katika mjadala wa wazi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mutisoakichangia katika mjadala wa wazi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akisilikiliza kwa makini mjadala katika Muhadhara wa wazi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere uliofanyika katika ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Tuesday, April 10, 2012


Wahudumu wa Msalaba Mwekundu wakimsaidia mmoja wa wakazi wa Dar esSalaam waliopoteza fahamu kwenye msiba wa Steven Kanumba
Wahudumu wa Msalaba Mwekunduwakimsaidia mmoja wa wakazi wa Dar esSalaam aliyezimia katika msiba wa aKanumba
Gari lililobeba mwili marehemu Kanumba likipita katikati ya watu waliokwenda kutoa heshima za mwishokatikaviwanja vya Leaders
Sehemu umati wa wakaziwa Dar es Salaam waliohudhuria mazishiya Kanumba
Sehemu ya umati wa wakazi wa Dar es Salaam walihudhuria mazishi ya Steven Kanumba
MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam akitoa heshima mbele ya mwili wa marehemu Kanumba
Mama Salma Kikwete akitoa heshima mbele ya mwili wa Steven Kanumba
Kamanda Suleiman Kova akitoa heshima mbele ya mwili wa marehemu Steven Kanumba katika viwanja vya Leaders
Wanakwaya wakiimba katikamsiba wa Kanumba
Wanakwaya wakiimba katika msiba wa Steven Kanumba katika viwanja vya Leaders
Wema Sepetu akiwa mwenye majonzi katika msibSteven Kanumba
Wema Sepetu akiwa mwenye majonzi kwenye msiba wa Steven Kanumba katika viwanja wa Leaders jijini Dar esSalaam
Wanakamati wa msiba wa marehemu Steven Kanumba wakiwa na jeneza Leadres Club
Sehemu ya umati wa watu walohudhuria mazishi ya Steven Kanumba katika uwanja wa Leaders jijini Dar esSalaam

Sunday, April 8, 2012

Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
Rais Kikwete akiaga waombolezaji  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam alikofika kuomboleza nao kifo hicho
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
Rais Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam alikofika kuomboleza nao kifo hicho
Waziri wa Mambo Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akikata utepe kuzindua album ya mwanamuziki wa Injili Solomon Mukubwa (wapili kulia) katika tamasha la muziki wa Injili liliofanyika katika uwanja wa Taifa. Tamasha hilo liliandaliwa na Msama Promotion
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza katika Tamasha la Injili lililoandaliwa na Msama Promotion na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana

Saturday, April 7, 2012


Wacheza shoo Bendi ya Extra Bongo wakicheza katika moja ya maonyesho yao jijini Dar es Salam hivi karibuni

Picha ya Mkugenzi wa Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo zao hivi karibuni.
RAIS  DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIHOJIANA NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL  IJUMAA USIKU  IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA  HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA.  MAAHOJIANO HAYO, YALIYOHUSU MASUALA MBALIMBALI IKIWEMO MAENDELEO YA NCHI, SIASA, UCHUMI NA JAMII, YATARUSHWA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TV DUNIANI

RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA CREW YA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYO MAHOJIANO IJUMAA USIKU  IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Kutoka kushoto kwenda Kulia ni Mlinda mlango wa zamani wa Manchester United  Gary Bailey na mlinzi wa timu hiyo Quinton Fortune wakisaini bango la Tanzania huku Mkuu wa Masoko wa DHL Express kutoka Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa DHLTanzania: Blaise De Souza.

DHL YALILETA KOMBE LA MANCHESTER  UNITED NCHINI TANZANIA

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Quinton Fortune akionyesha ujuzi wake wa kutandaza soka katika ofisi za DHL wakati ziara ya kombe la Manchester United Champ19ns Trophy  jijini Dar es Salaam leo

Friday, April 6, 2012

MSIBA MZITO: MSANII MAARUFU WA SANAA YA FILAMU STEPHEN KANUMBA AFARIKI DUNIA USIKU.

Msanii maarufu wa sanaa ya filamu Stephen Kanumba amefariki dunia leo na mwili wake umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Habari zaidi zitatolewa baadaye

Irene Mark (kushoto) na Grace Michael wakiwa nje ya Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar esSalaam