Saturday, November 10, 2012

ASKOFU ALOYSIUS BALINA WA SHINYANGA AZIKWA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na kumfariji Mama Theresia Nigo, mama yake mzazi Askofu Aloysius Balina wakati wa mazishi ya Askofu huyo kwenye Kanisa la Mama wa Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.

No comments:

Post a Comment