Thursday, November 15, 2012

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA SINGIDA LAMKATAA MHANDISI WA UJENZI na mhandisi wa ujenzi katika halmashauri hiyo, Robert Masoro kutokana na kukorofishana na wakandarasi mara kwa mara, pia kushindwa kumudu usimamizi wa miradi ya ujenzi.

Diwani Gwae Mbua wa kata ya Mwankoko akimlalamikia mhandisi wa ujenzzi manispaa Singida Robert Massoro kwenye baraza la madiwani ktk ukumbi wa FDC na kufikia azimio la kumkataa mhandishi wa ujenzi.

No comments:

Post a Comment