Saturday, November 24, 2012

Waziri Mkuu Mstaafu Dk Salim Ahmed Salim akizungumza na Jaji Mkuu Othman Chande katika sherehe za uzinduzi wa kitabu kulichoandikwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Balozi Juma Mwapachu. Dk Salim alikuwa mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment