Monday, November 19, 2012

JK AMUAGA MAKWETA

Rais Jakaya Kikwete akimfariji mke wa marehemu Jackson Makweta
Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganizesheni wa CHADEMA, Benson Kigaila ( kushoto) akisisitiza jambo kwenye mkutano   na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA  jijini Dar es Salaam juu ya kusudio la kufanya mikutano ya hadhara ya chama hicho  nchini kote.

No comments:

Post a Comment