Thursday, November 22, 2012

Mhitimu wa Shahada ya uzamivu (PHD) Chuo Kikuu cha Dodoma Philemon Sengati(38) akinyanyua mikono juu ikiwa ni ishara ya kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kumaliza masomo yake ya PHD   Na Picha nyingine akiwa na Mtoto wake  Joyce Sengati(4) baada ya kuhitimu katika mahafali iliyofanyika jana Chuoni hapo

No comments:

Post a Comment