Monday, November 19, 2012

Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Charles Masero (kulia), Rebbeca Kajiru (katikati) na Mussa Kombo wakikusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya katika njia ya maandishi wakati wa mkutano uliotishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika Kata ya Rhotia, Wilaya ya Karatu mkoani Arusha

No comments:

Post a Comment