Saturday, November 24, 2012

KINANA AKIWA ZIARANI GEITA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa mpira, mjini Geita mkoani Geita, jioni hii, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya mikoa minne kujitambulisha kwa wanachama na kukagua uhai wa chama ngazi za mashina na matawi na kusimamia na kueleza utekelezaji wa ilani ya Chama. Picha kwa hisani ya Bashir Nkoromo



No comments:

Post a Comment