Wakazi wa kijiji cha Lipinyapinya Peramiho wilayani Songea mkoani
Ruvuma wakichota maji kutoka katika tenki la maji moja kwa moja kwa
kutumia vipande vya khanga . Hii ni kutokana na kutokuwepo kwa
miundombinu ya kusambazia maji kutokana na uhaba wa maji katika maeneo
mengi wilayani humo, wananchi walio wengi wanalazimika kuchota maji
kwa njia hii jambo ambalo linahatarisha maisha yao
No comments:
Post a Comment