Mkurugenzi Mtendaji wa The Guardian Ltd Kiondo Mshana akiwaelekeza Maafisa wa Jeshi kutoka nchi za Afrika Mashariki na nchi wanachama wa Ushirikiano wa Jumuiya ya SADC wanaohudhuria mafunzo ya kijeshi na Unadhimu katika Chuo cha Maafisa kilichopo Arusha, wakati maafisa hao walipotembelea vyombo vya habari vya IPP
No comments:
Post a Comment