Wednesday, April 4, 2012

Jengo jipya litakalo tumika katika utoaji wa mafunzo kwa madaktari wa maradhi ya moyo na pia upasuaji wa moyo likiwa katika hatua za mwisho za kukamilika. Jengo hilo linajengwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili litakuwa mkombozi kwa Watanzania.

No comments:

Post a Comment