Friday, April 6, 2012

Viongozi wakuu waliohudhuria wakati Rais Jakaya Kikwete akitangaza Tume ya Katiba Mpya kutoka kulia ni Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Waizir Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Ali Idd na Waziri wa Katiba na sheria Celina kombani

No comments:

Post a Comment