Thursday, April 5, 2012

Mamia ya wafanyabiashara waliohamishwa kutoka eneo la Ubongo Tanesco wakiwa nje ya ofisi za Manispaa ya Kinondoni ambako walikwenda kukutana na mbunge wao na pia kutaka manispaa hiyo iwapatie eneo lingine la kufanyia biashara baada ya kufukuzwa kwenye eneo lao la awali

No comments:

Post a Comment