Rais Jakaya Kikwete akitangaza Tume ya Mabadiliko ya Katiba Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Wajumbe waliomo katika tume hiyo kutoka Tanzania Bara ni: Prof Mwesiga Baregu, Riziki Shahari Mngwali,Dk Edmund Adrian Sengondo Mvungi,Richard Shadrack Lyimo,John J Nkolo, Alhaj Said El Maamri,Jesca Sydney Mkuchu,Prof Palamagamba Kabudi,Humprey Polepole,Yahya Msulwa,Esther P Mkwizu, Maria Malingumu Kashonda,Mh Al Shaymaa Kweigir (MB), Mwantumu Jasmine Malale na Joseph Butiku
Na Wajumbe kutoka Zanzibar ni>Dk Salim Ahmed Salim,Omar Sheha Mussa, Fatma Said Ali,Raya Salim Hamad, Awadh Ali Saud,Ussi Khamus Haji, Salma Moulid, Nassor Khamis Mohamed, Simai Mohamed Said,Muhammed Yussuf Mshamba,Kibibi Mwinyi Hassan, Suleiman Omar Ali Salama Kombo Ahmed, Abubakar Mohamed na Ali,Ally Abdallah Ally Saleh. Uongozi wa Sekretarieti ni Assaa Ahmad Rashid-Katibu na Casmir Sumba Kyuki.
No comments:
Post a Comment