Mamia ya wafanyabiashara waliohamishwa kutoka eneo la Ubongo Tanesco
wakiwa nje ya ofisi za Manispaa ya Kinondoni ambako walikwenda kukutana
na mbunge wao na pia kutaka manispaa hiyo iwapatie eneo lingine la
kufanyia biashara baada ya kufukuzwa kwenye eneo lao la awali
No comments:
Post a Comment