Ujumbe wa Serikali ya Taifa ya Mpito ya Libya, ukiongozwa na
Mheshimiwa Mahdi M Gaziri (watatu kushoto.), Mkuu wa Ofisi ya Mwenyekiti wa
Serikali hiyo,ukiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete baada ya ujumbe huo kuwa umekutana naye Ikulu, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment