RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIHOJIANA NA BW. FRANKLIN
MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL IJUMAA USIKU IKULU JIJINI
DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA HABARI
(SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS
LULA. MAAHOJIANO HAYO, YALIYOHUSU MASUALA MBALIMBALI IKIWEMO MAENDELEO
YA NCHI, SIASA, UCHUMI NA JAMII, YATARUSHWA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA
TV DUNIANI
No comments:
Post a Comment