Wednesday, April 4, 2012

Banda la kupumzikia abiria lililopo katika kituo cha Kanisani barabara ya Kawawa, Kinondoni jijini Dar es Salaam likiwa limeanguka na hivyo kuleta sura mbaya sehemu hiyo. Hali hiyo imesababisha abiria kukosa sehemu ya kukaa na hazijachukuliwa hatua za kukirejesha katika hali yake.

No comments:

Post a Comment