Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Monday, October 22, 2012
Vibanda vya mama Ntilie eneo la Samunge vikiwa havina wateja kama zamani ambapo vilijaza watu waliokuwa wanakwenda kunywa dawa ya Kikombe cha Babu. Loliondo. Hii ni hali iliyopo kwa sasa.
No comments:
Post a Comment