Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapila akiyaangalia magari yake eneo la Samunge ambayo ameyanunua kwa kukusanya dawa maporini na kuni maarufu kama kikombe cha Babu. Watu wengi walikuwa wanafurika eneo hili kwa ajili ya kupata dawa kwa sasa hakuna foleni tena na pamekuwa kimya. |
No comments:
Post a Comment