Monday, October 22, 2012

Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Mbinga  Prisca Haule akizungumza juzi wakati wa kikao cha baraza la madiwani la halmashauri hiyo katika ukumbi wa jumba la maendeleo mjini Mbinga,kushoto mkuu wa wilaya hiyo Senyi Ngaga na katikati mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya Shaibu Nnunduma.

No comments:

Post a Comment