Wednesday, October 31, 2012

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Hai, Novatus Makunga wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Hai_Masama mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment