Huyu ni Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapila wa Loliondo kijiji cha Samunge ambaye alivuma kwa kuwapa watu dawa maarufu kama "Kikombe cha Babu akiwa amesiamama eneo ambalo alikuwa anagawia dawa hiyo. Sehemu hiyo ilikuwa inafurika watu lakini kwa sasa watu huwaoni tena wakija kwa wingi kwa sasa eneo hilo limekuwa tupu kabisa. |
No comments:
Post a Comment