Hapa ni jikoni ambako dawa ya Babu eneo la Samunge _Loliondo yalikuwa yanachemshwa masuria makubwa na maelfu ya watu kutoka sehemu mbalimbali nchini na duniani kwa ujumla walikuwa wanamiminika kwenda kupata kikombe cha Babu lakini kwa sasa hutumika sufuria ndogo kuchemsha dawa. |
No comments:
Post a Comment