Monday, October 22, 2012

Mkuu wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Ernest Kahindi akizungumza juzi mjini mbinga wakati wa kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya mbinga,kushoto mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya ya mbinga Shaibu Nnunduma na katikati makamu mwenyekiti Prisca Haule

No comments:

Post a Comment