Tuesday, October 23, 2012

NDEGE YA MAFUNZO YA KIJESHI YAPATA AJALI NA KUUA OFISA MMOJA

Ndge ya mafunzo ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ikiwa imepaki eneo la ajali iliyotokea leo ambapo marubani wake waliokuwa kwenye mafunzo mmoja amepoteza maisha Capteni Deogratius Magushi amefariki dunia ambapo mwenzake kapteni Kwidika Feruz amejeruhiwa na amelazwa katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment