Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Sunday, October 28, 2012
Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM wakitwangana mangumi baada ya kundi moja linalopinga ushindi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja huo kwenye mapokezi yaliyofanyika Makao Makuu ya Umoja huo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment