Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernaed Membe akizungumza na waandishi wa habari juu ya meli inayodaiwa kuwa ya Iran inayotuhumiwa kupeperusha bendera ya taifa ambapo alisema kuwa Tanzania ipo tayari kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya, Marekani na Tanzania.
No comments:
Post a Comment