Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Sunday, July 15, 2012
FFU WAKILINDA MKUTANO WA CHADEMA SINGIDA
Askari wa kikosi cha kutuliza Ghasia mkoani Singida wakilinda mkutano wa Chadema ambao ulitokea vurugu.
YANGA WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI
Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa katika mkutano wao mkuu wa kuchaguz viongozi katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.
Friday, July 6, 2012
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA NA MKURUGENZI WA PPF
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio wakati alipotembelea banda la PPF Sabasaba.
RAIS ATEMBELEA BANDA LA PPF
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Wiliam Erio wakati walipotembelea banda la shirika hilo kwenye Maonyesho ya Biashara wa Mwilimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Thursday, July 5, 2012
GARI YAPOTEZA MWELEKEO NA KUGONGA MTU
Msamalia mwema akiwa anasubiri gari la kumbeba Bw Shaban Mashaka aliyegongwa na gari eneo la Kijitonyama baada ya gari Toyota Hiace kupoteza mwelekeo na kumgonga
MEMBE AZUNGUMZIA MELI INAYOPEPERUSHA BENDERA YA TAIFA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernaed Membe akizungumza na waandishi wa habari juu ya meli inayodaiwa kuwa ya Iran inayotuhumiwa kupeperusha bendera ya taifa ambapo alisema kuwa Tanzania ipo tayari kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya, Marekani na Tanzania.
Subscribe to:
Posts (Atom)