Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Sunday, May 13, 2012
MH ANNE KILANGO ATEMBELEA MACHIMBO
Mbunge wa Same Mashariki Mama Anne Kilango akishangaa mashimo ya uchimbaji wa dhahabu huku akiwa
ameshika baadhi ya zana zilizotelekezwa na watu wanaochimba madini ktk
msitu wa Shengena picha na Asraji Mvungi
No comments:
Post a Comment